Jumanne, 24 Machi 2015
Jumatano, 25 Februari 2015
Alhamisi, 10 Aprili 2014
(News): Lady jaydee akishirikiana kwenye wimbo wa kombe la dunia 2014.
Msani judith wabura Lady jaydee ameteuliwa katika michuano ya kombe la dunia 2014 baada ya kupata nafasi ya kuandaa wimbo kwa ajili ya michuano hiyo mikubwa zaidi ya soka dunian katika wimbo huu mkali anaconda anashirikiana na mkali rapa octopizo wa Kenya na David Corey wa Brazil.
Ijumaa, 28 Machi 2014
(News): Wabunge wanaotaka kutumia kura ya siri badala ya wizi ni mashoga."Hii ni kauli ya mwigulu Nchemba iliyoibua vurugu jana bungeni.
Naibu katibu wa fedha mwigulu nchemba jana katika bunge maalumu la katiba alichafua hali ya hewa baada ya kumwambia mwenyekiti wa chadema Taifa Freeman Mbowe na mwakilishi wa mji kongwe Ismail Juma kwamba wanataka wabunge wa bunge hilo watumie kura za siri badala za wazi wao ni mashoga
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)