Wabantu

KUHUSU WABANTU

Nikundi la watu wa tatu (3) ambao ni Rizione Said, Linus Kashushura na Pascal Mwaria. Nikundi linalo shughulika na sanaa za mziki na maswala ya ujenzi. 

Kwa upande wa muziki ni kundi lenye ngoma kama baridi waliomshirikisha Luteni Kalama

Kundi hili limeanzishwa rasmi mwaka 2012, ila kazi ya muziki zilianza kitambo sana baina ya wana kundi.

Hakuna maoni: