Alhamisi, 10 Aprili 2014


  (News): Lady jaydee akishirikiana kwenye wimbo wa kombe la dunia 2014.

                                                                                                                                                                                                                                            
Msani judith wabura Lady jaydee ameteuliwa katika michuano ya kombe la dunia 2014 baada ya kupata nafasi ya kuandaa wimbo kwa ajili ya michuano hiyo mikubwa zaidi ya soka dunian katika wimbo huu mkali anaconda anashirikiana na mkali rapa octopizo wa Kenya na David Corey wa Brazil.                                                                                                                                                                                                                                      

Ijumaa, 28 Machi 2014





    (News): Jackline Wolper na Irene Uwoya wamaliza Ugomvi wao wa muda mrefu baada ya kupatanishwa.

    





          (News): Wabunge wanaotaka kutumia kura ya siri badala ya wizi ni mashoga."Hii ni kauli ya mwigulu Nchemba iliyoibua vurugu jana bungeni.

         
    Naibu katibu wa fedha mwigulu nchemba jana katika bunge maalumu la katiba alichafua hali ya hewa baada ya kumwambia mwenyekiti wa chadema Taifa Freeman Mbowe na mwakilishi wa mji kongwe Ismail Juma kwamba wanataka wabunge wa bunge hilo watumie kura za siri badala za wazi wao ni mashoga

Alhamisi, 23 Januari 2014




(News): Bondia rashid matumla akitoa salamu katika tamasha la wasanii
         

                   





       (News): Hii ni baadhi ya burudan ndani la lamada hotel katika kongamano la wasanii.
                           







       (News): Prof penena mrama akitoa maneno matamu katika kongamano la wasanii katika hotel ya lamada.  

                        





       (News): Rapper chid benzi akifanya yake(akitumbuiza) katika kongamano la wasanii lililofanyika lamada hotel tar 17/1/2014.
              



    
       (News): Mwimbaji wa nyimbo za gospel stara thomas  na mzee chilo wakiburudisha katika tamasha la wasanii liliofanyika katika hotel ya lamada tar 17/1/2014.
               

Jumanne, 14 Januari 2014




      (News): CHRISTIAN RONALDO ndiye mchezaji bora wa FIFA mwaka 2013