(News): Bondia rashid matumla akitoa salamu katika tamasha la wasanii
(News): Hii ni baadhi ya burudan ndani la lamada hotel katika kongamano la wasanii.
(News): Prof penena mrama akitoa maneno matamu katika kongamano la wasanii katika hotel ya lamada.
(News): Rapper chid benzi akifanya yake(akitumbuiza) katika kongamano la wasanii lililofanyika lamada hotel tar 17/1/2014.
(News): Mwimbaji wa nyimbo za gospel stara thomas na mzee chilo wakiburudisha katika tamasha la wasanii liliofanyika katika hotel ya lamada tar 17/1/2014.
(News): CHRISTIAN RONALDO ndiye mchezaji bora wa FIFA mwaka 2013