Ijumaa, 28 Machi 2014





    (News): Jackline Wolper na Irene Uwoya wamaliza Ugomvi wao wa muda mrefu baada ya kupatanishwa.

    





          (News): Wabunge wanaotaka kutumia kura ya siri badala ya wizi ni mashoga."Hii ni kauli ya mwigulu Nchemba iliyoibua vurugu jana bungeni.

         
    Naibu katibu wa fedha mwigulu nchemba jana katika bunge maalumu la katiba alichafua hali ya hewa baada ya kumwambia mwenyekiti wa chadema Taifa Freeman Mbowe na mwakilishi wa mji kongwe Ismail Juma kwamba wanataka wabunge wa bunge hilo watumie kura za siri badala za wazi wao ni mashoga