Jumanne, 24 Desemba 2013

      

         (News): Avril achumbiwa na Msouth,kufunga ndoa mwakani.
  

    
             Muimbaji wa kitu kimoja na 'Hakuna yule ',mrembo Avril Nyambura hayupo tena sokoni .Kwa mujibu wa standard Digital Entertainment, Avril amechumbiwa na raia wa Afrika kusini aishiye jijini Nairobi na wamepanga kufunga ndoa


           (News): wahuni wamliza shilole baada ya kukwapua simu yake.
         
         
          Msanii wa filamu na muziki Bongo Zuwena Mohamed "shilole" hivi karibuni alimwaga machozi hadharani baada ya kuibiwa simu yake ya mkononi, Mwananyamala jijini Dar es salaam



       Picha 5 za muonekano wa kifua cha loveness Diva.

           






     (News):Diana kimaro wa bongo movie ajuta kuanika Bikra yake mitandaoni.

       
             Takribani miezi kadhaa iliyopita star wa filamu Diana kimaro alikaririwa akisema kuwa yeye ni bikra na hajawahi kulala na mwanaume yeyote kwani yupo busy na shule

Jumatatu, 23 Desemba 2013

  (News):video queen  wa nyimbo ya wabantu iitwayo baridi ateka nyoyo za  mamia ya mashabiki wa mziki hapa bongo.Cheki kichupa cha wabantu kwenye EATV,ITV,DTV.






Jumapili, 22 Desemba 2013



      (News):jokate aja na kidoti club


       
    
      Baada ya kutamba na mtindo ya nywelw na nguo aina ya kidoti,mrembo jokate mwegelo ameanzisha klabu yake aliyoipa jina la kidoti club

(News): Mchezaji wa yanga  Emmanuel Okwi awapatia yanga bao la kufutia  machozi.


   Yule mchezaji mpya wa timu ya yanga awapatia wazee wa jangwan goli la kufutia machoz katika mechi ya nani mtani jembe iliyochezwa katika uwanja wa taifa jijin Dar-es-salaam. (simba 3-yanga 1)
(News): DIAMOND PLATNUMZ  awatembelea watoto yatim
a leo na kuwapa zawadi ya xmas  
siku yangu ya leo baada ya swalt Ijumaa nilitumia kutembelea kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu kilichopo Buguruni,ambapo nilikula chakula cha mchana,tukacheza na kwa mara ya kwanza nikawapa fursa ya kutazama video yangu mpya ya Number one remix.....Na kisha nikawapa Complimentary 50 za kuja kusherehekea na kutazama live show yangu ya watoto itakayofanyika Leaders club tarehe 25/12/2013