(News): Mchezaji wa yanga Emmanuel Okwi awapatia yanga bao la kufutia machozi.
Yule mchezaji mpya wa timu ya yanga awapatia wazee wa jangwan goli la kufutia machoz katika mechi ya nani mtani jembe iliyochezwa katika uwanja wa taifa jijin Dar-es-salaam. (simba 3-yanga 1)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni