
siku yangu ya leo baada ya swalt Ijumaa nilitumia kutembelea kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu kilichopo Buguruni,ambapo nilikula chakula cha mchana,tukacheza na kwa mara ya kwanza nikawapa fursa ya kutazama video yangu mpya ya Number one remix.....Na kisha nikawapa Complimentary 50 za kuja kusherehekea na kutazama live show yangu ya watoto itakayofanyika Leaders club tarehe 25/12/2013
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni